TUME YA MADINI YAJIVUNIA MAFANIKIO MAKUBWA
Ikiwa ni utekelezaji wa kanuni za ushirikishwaji wa watanzania katika Sekta ya Madini Asilimia 86 ya kampuni za wazawa zinatoa huduma na bidhaa migodini huku asilimia 14 zikitolewa na kampuni za nje ya nchi kupitia kibali maalum kinachotolewa na Tume ya Madini Ajira katika migodi ya madini asilimia 97 ni watanzania huku raia wa kigeni …